Competition in this pair is now closed, and the winning entry has been announced. Discussion and feedback about the competition in this language pair may now be provided by visiting the "Discussion & feedback" page for this pair. Entries may also be individually discussed by clicking the "Discuss" link next to any listed entry. Source text in English Computer games were, at one time, unified. We didn’t even have the term “casual game” in 1993, let alone the idea that a first-person shooter (then an unnamed genre) could be considered a “hardcore title.” There were people who played computer games, and people who didn’t. People who got way into golf or Harpoon or hearts or text adventures — those were the “hardcore” players, in that they played their chosen field obsessively.
When Myst and the CD-ROM finally broached the mass market, this ecosystem was disrupted. Myst had, Robyn Miller makes clear, been designed to appeal to non-gamers. It sold to them. Enthusiast magazines like Computer Gaming World couldn’t set the taste for the industry anymore: there were millions buying games who didn’t read these magazines. An entirely new breed of player. In this situation, what could be more natural than concocting an us-and-them formula? In a very real way, it was already true.
The great narrative of Myst is that the “hardcore” game press and playerbase lambasted it when it launched. Disowned it. A slideshow, they called it. Abstruse, idiotic puzzles; pretty graphics and not much depth. “Critics and hardcore game players universally panned it as a slide-show that had little actual gameplay interaction”, claimed PC Gamer’s Michael Wolf in 2001.That same year, a columnist for Maximum PC recalled Myst as a “tedious code-breaking and switch-throwing mess”, and saw its then-new remake realMYST as “a pointed reminder of why the press dumped on the original so heavily when it came out.” | The winning entry has been announced in this pair.There were 5 entries submitted in this pair during the submission phase. The winning entry was determined based on finals round voting by peers.
Competition in this pair is now closed. | Michezo ya kompyuta ilikuwa, wakati mmoja, imeunganishwa. Hata hatukuwa na msamiati “mchezo wa kawaida” mwaka wa 1993, potelea mbali dhana ya mfyatuaji wa kwanza (wakati huo aina ambayo haikuwa na jina) kufikiriwa kuwa “toleo sugu”. Palikuwepo na watu waliocheza michezo ya kompyuya, na wale hawakucheza. Kuna watu waliojitoma sana kwenye gofu au bunduki za manati au ziara za matini – hao ndio waliokuwa wachezaji “sugu”, yaani walicheza chaguo la nyanja zao kwa njia ya kupagawa. Wakati Myst na CD-ROM hatimaye ilizuka kwenye soko la halaiki, mfumo ikolojia huu ulivurugwa. Robyn Miller anaweka bayana kwamba, Myst ilikuwa imeundwa iwavutie wasiocheza michezo. Ikauza kwao. Majarida ya wakereketwa kama vile Computer Gaming World hayakuweza kuendelea kuweka ladha ya tasnia: palikuwepo na mamilioni waliokuwa wakinunua michezo ambao hawakusoma majarida haya. Kizazi kipya kabisa cha mchezaji. Katika hali hii, ni kipi cha kawaida kingezidi kuchanganyisha formula ya sisi-na-wao? Kwa njia ya halisi kabisa, tayari ilikuwa ukweli. Simulizi kuu kuhusu Myst ni kwamba wanahabari na vikosi vya mchezo huo “sugu” waliikosoa vikali wakati ilizinduliwa. Wakaikataa. Wakaiita kionyesha slaidi. Mgumu, mafumbo ya kipumbavu; yenye grafu tu na kina kidogo. “Wakosoaji na wachezaji sugu ulimwenguni waliipuuza kama kionyesha slaidi ambacho hakikuwa na mwingiliano uletwao na mchezo”, akadai mwana- PC Gamer Michael Wolf mwaka wa 2001. Mwaka uo huo, mwandishi wa Maximum PC akaita tena Myst “uchafu wa kuchosha wa kuvunja-misimbo na kurusha-swichi”, na kuona muundo wake mpya realMYST kama “kumbukumbu kali ya sababu iliyowafanya wanahabari kutupilia mbali sana ule wa asili wakati ilitoka.” | Entry #32212 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Winner Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
37 | 9 x4 | 0 | 1 x1 |
- 1 user entered 5 "like" tags
“mchezo wa kawaida” | Good term selection | Grace Marucha No agrees/disagrees | |
| Kuna wakati, ambapo michezo ya kompyuta ilikuwa imeungana. Hata hatukuwa na neno "michezo ya kawaida" mwaka 1993, ukiachilia mbali hata kuwa na fikra za mchezo wa wewe mwenyewe kuwa mdunguaji (kipindi hicho aina hii ya michezo haikuwa na jina) ungechukuliwa kama "jina gumu." Kulikuwa na watu waliokuwa wanacheza michezo ya kompyuta, na wale ambao hawakucheza. Watu ambao walijikita kwenye gofu au Hapuni au karata au maneno yenye kusisimu - hao walikuwa ni wachezaji "waliokubuhu", ikiwa ina maana walicheza katika uwanja waliochagua kwa uraibu. Pale ambapo Myst na mlango wa CD vilipoingia sokoni, mfumo huu wa ekolojia uliharibika. Kama Robyn Miller alivyosema, Myst ilikuwa imetengenezwa kuwavutia wale wasiopenda michezo. Iliuzwa kwao. Magazeti makereketwa kama Computer Gaming World hayakuwa na uwezo kuweka uelekeo katika kiwanda cha michezo tena: kulikuwa na watu wengi ambao hawakuwa wakisoma haya magazeti wakinunua michezo. Kundi jipya kabisa la wachezaji. Katika hali hii, nini kingeonekana kuwa asilia zaidi ya kuwa na mpango wa sisi-na-wao? Kiuhalisia, hii ilikuwa tayari ni kweli. Hadithi kubwa juu ya Myst ni kwamba vyombo vya habari za michezo "vilivyokubuhu" na shina la wachezaji yaliliminya lilipozinduliwa. Walilikataa. Waliliita onyesho la slaidi. Fumbo la kijinga lililofupisha; picha nzuri lakini halina mtiririko mzuri. "Wakosoaji na wacheza michezo waliokubuhu duniani kote waliliponda kwa kuliita onyesho la slaidi ambalo halikuwa na uchezaji wenye kushirikisha", ndivyo alivyosema Michael Wolf mchezaji wa michezo ya kompyuta mwaka 2001. Mwaka huo huo, mchangiaji mmoja wa Maximum PC aliita Myst kama "uvunjaji wa kodi zinazochosha na swichi zinazorusha uchafu", na alichukuliwa toleo jipya la wakati huo lilijulikana kama realMYST kama "kumbukumbu mahususi ya kwanini vyombo vya habari vililitupilia mbali wakati wa uzinduzi wake." | Entry #32069 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
14 | 3 x4 | 1 x2 | 0 |
- 1 user entered 1 "dislike" tag
Magazeti | Mistranslations Magazines are not newspapers. The accurate translation of this is "Majarida". | Grace Marucha No agrees/disagrees | |
| Michezo ya tarakilishi, wakati mmoja, ilikuwa imeunganishwa. Hayukuwa hata na msamiati “michezo ya kawaida” katika mwaka wa 1993, achia mbali wazo kuwa mtu wa kwanza kulenga (wakati huo ikiwa aina isiyo na jina) angeweza kuzingatiwa kwa “taji la ugumu”. Kuna watu ambao walicheza michezo ya tarakilishi, na wale ambao hawakuicheza. Watu waliojiingiza katika mchezo wa gofu au mchezo wa chusa au karata au michezo ya maneno – hawa ndio walikuwa wachezaji “kamili”, kwa kuwa walicheza katika nyanja zao kwa kujituma kupindukia. Hatimaye Myst na CD-ROM zilipoingia kwenye soko wazi, mfumo wa michezo ya tarakilishi ulivurugika. Myst, Robyn Miller anaweka wazi, ilikuwa imeundwa kuwavutia wasio wachezaji. Iliwapendeza. Majarida ya shauku kama vile Computer Gaming World haikuweza tena kuweka viwango vya vipimo vya sekta hii: kulikuwa na mamilioni waliokuwa wakinunua michezo ambao hawakusoma majarida haya. Walikuwa kizazi kipya kabisa cha wachezaji. Katika hali hii, nini kingekuwa cha asili zaidi kuliko kuunda fomula ya sisi-na-wao? Kwa uhalisia, jambo hili lilikuwa kweli tayari. Simulizi kuu la Myst ni kuwa vyombo “kamili” vya habari na msingi wa wachezaji waliishutumu ilipozinduliwa. Waliikana. Waliirejelea kama kitu kisichokuwa na athari yoyote. Haikueleweka kwani ilijaa mafumbo ya ujinga; ilisheheni picha nzuri lakini haikuwa na mengi ya kina. “Wakosoaji na wachezaji “kamili” kwa pamoja waliikejeli kuwa ilikosa mashiko wala haikuwa na maingiliano halisi ya uchezaji”, alidai Michael Wolf wa PC Gamer mwakani 2001. Mwaka huo huo, mwandishi wa safu wa Maximum PC alirejelea Myst kama “fujo ya kuchosha ya kuvunja nambari na kubadili swichi”, na aliona realMYST, mfano wake mpya wakati huo, kama “ukumbusho elekezi kuhusu sababu ya vyombo vya habari kukemea vikali toleo asili lilipozinduliwa.” | Entry #32230 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
12 | 2 x4 | 2 x2 | 0 |
| Michezo ya kompyuta, wakati mmoja, ilikuwa imeshikamana. Hatukuwa hata na neno "mchezo wa kawaida" mnamo 1993, sahau wazo kwamba mpiga risasi wa kwanza (aina ambayo haikujulikana) inaweza chukuliwa kuwa "aina zito." Kulikuwa na watu ambao walicheza michezo ya kompyuta, na watu ambao hawakucheza. Watu ambao waliingia kwenye gofu au Harpoon au mioyo au vivutio vya maandishi - wale walikuwa wachezaji "ngumu", kwa kuwa walicheza uwanja wao waliochaguliwa kwa kupuuza. Wakati Myst na CD-ROM mwishowe walibadilisha soko la molekuli, mfumo huu wa mazingira ulivurugika. Myst alikuwa na, Robyn Miller anafanya wazi, imeundwa kuwavutia wasio wachezaji. Iliwauzia. Magazeti ya shauku kama Michezo ya Kubahatisha ya Kompyuta hayakuweza kuweka ladha ya tasnia tena: kulikuwa na mamilioni ya wanunuzi wa michezo ambao hawakusoma majarida haya. Aina mpya ya mchezaji. Katika hali hii, ni nini kinachoweza kuwa asili zaidi kuliko kutunga fomula ya sisi-na-wao? Kwa njia halisi kabisa, ilikuwa tayari ni kweli. Simulizi kuu ya Myst ni kwamba waandishi wa habari wa "hardcore" na mchezaji wa mpira waliiumiza wakati ilizindua. Iliikana. Slideshow, waliiita. Abstruse, puzzles ya ujinga; michoro nzuri na sio kina kirefu. "Wakosoaji na wachezaji wa mchezo mgumu ulimwenguni waliiweka kama onyesho la slaidi ambalo halikuwa na mwingiliano halisi wa uchezaji", alidai PC Wolf Gamer Michael Wolf mnamo 2001. Mwaka huo huo, mwandishi wa safu ya Maximum PC alikumbuka Myst kama "kuvunja nambari ngumu na kubadili -kuangusha fujo ", na kuona marekebisho yake mpya ya" MYST "kama" ukumbusho dhahiri wa kwanini waandishi wa habari walitupa kwenye asili sana wakati ulipotoka. " | Entry #32299 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
7 | 1 x4 | 1 x2 | 1 x1 |
- 1 user entered 1 "dislike" tag
agazet | Spelling Should be majarida | Grace Marucha No agrees/disagrees | |
| Michezo ya kompyuta, wakati mmoja, ilikuwa imeunganishwa. Hatukuwa hata na istilahi "mchezo wa kawaida" mwaka 1993, hata wazo kwamba mtu wa kwanza mlengaji shabaha (wakati huo aina mchezo isiyo na jina) anaweza kuchukuliwa kuwa "jina sugu." Kulikuwa na watu ambao walicheza michezo ya kompyuta, na watu ambao hawakucheza. Watu ambao waliingia kwenye mchezo wa gofu au Mchezo wa chusa au mioyo au matukio ya maandishi - hao walikuwa wachezaji "sugu", kwa kuwa walicheza mchezo waliochagua kwa shauku. Wakati Myst na CD-ROM hatimaye zilipofika soko la molekuli, mfumo huu ukavurugwa. Myst ilikuwa na, Robyn Miller hufanya wazi, ilikuwa imeundwa kuwavutia wasiopenda kucheza. Iliwashawishi. Magazeti ya washabiki kama Dunia ya Mchezo wa Kompyuta hayakuweza kuweka ladha ya tasnia hii tena: kulikuwa na mamilioni ya wanunuzi wa michezo ambao hawakusoma majarida haya. Aina mpya zaidi ya mchezaji. Katika hali hii, ni nini kinachoweza kuwa asili zaidi kuliko kutunga fomula ya sisi-na-wao? Kwa njia halisi kabisa, ilikuwa tayari ni kweli. Simulizi kuu ya Myst ni kwamba waandishi wa mchezo wa "sugu" na mchezajibesi walikosoa wakati ilipozinduliwa. Waliikana. Waliita onesho la slaidi. Isiyoeleweka, mafumbo ya ujinga; michoro nzuri isiyo na maelezo ya kina. "Wakosoaji na wachezaji wa mchezo sugu ulimwenguni waliibandika onesho la slaidi ambalo halikuwa na mwingiliano halisi wa mchezo", alidai mchezaji wa mchezo wa kompyuta Michael Wolf mwaka 2001.Mwaka uo huo, mwandishi wa makala ya Maximum PC alikumbuka Myst kama "usimbuzi wa nambari unaochosha na fujo za kupambana na swichi", na akaona kuwa ni aina mpya ya realMYST wakati huo kama "ukumbusho halisi wa kwanini waandishi walipuuza asili sana wakati ilitoka. ” | Entry #32009 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
5 | 1 x4 | 0 | 1 x1 |
- 1 user entered 1 "dislike" tag
Magazeti ya washabiki | Mistranslations Magazines - Majarida; and we day 'mashabiki' and not "washabiki" | Grace Marucha No agrees/disagrees | |
| | | | | X Sign in to your ProZ.com account... | | | | | | ProZ.com translation contestsProZ.com translation contests offer a fun way to take a break from your normal routine while testing and honing your skills with fellow translators.
ProZ.com Translation Contests. Patent pending. |