Ningegawa mkono wangu wa kulia kupata uwezo wa kuandika na mikono yote miwili.
Ukifika njia panda, ifuate.
Unaweza kuona mengi kwa kutizama tu.
Watu hawaendi huko siku hizi. Kuna msongamano mkubwa wa watu.
Siwezi kutafakari wakati nafikiri.
Siku za baadaye si kama za hapo zamani.
Sitawanunulia watoto wangu kamusi elezo, waache watembee kwenda shule kama nilivo fanya.
Tumepotea, lakini kasi yetu ya mwendo ni nzuri.
Nusu ya uongo wanaosambaza juu yangu, sio kweli.
Shillingi haina tena thamani ya senti kumi siku hizi.
Ni marudio yana jirudia upya.
Hayajaisha mpaka ya ishe.
Mama Lindsay: unaonekana umetulia. Yogi Berra: Asante, nawewe unaonekana kama vile, hali yako sii nzuri.
Dunia ingekua timilifu, isinge kuwa dunia.